Makonda atoa onyo kwa Simba na Yanga kuwasajili Serengeti Boys “Mkiwasajili wacheze wasikae Benchi”
The post Makonda atoa onyo kwa Simba na Yanga kuwasajili Serengeti ...
Get updates from UDAKU SPECIAL via email, on your phone or read them on follow.it on your own custom news page.
You can filter the news from UDAKU SPECIAL that get delivered to you using tags or topics or you can opt for all of them. Unsubscription is also very simple.
See the latest news from UDAKU SPECIAL below.
Site title: UDAKU SPECIAL | Habari za Udaku, Michezo na Siasa
Is this your feed? Claim it!
Makonda atoa onyo kwa Simba na Yanga kuwasajili Serengeti Boys “Mkiwasajili wacheze wasikae Benchi”
The post Makonda atoa onyo kwa Simba na Yanga kuwasajili Serengeti ...
Ali Kamwe awaumbua tena simba? “Bus ni Used” Aonyesha picha na video zingine kuthibitisha,Adai haya
The post Ali Kamwe Awaumbua Tena Simba? “Bus ni Used” Aonyesha Picha na Video...
Dar es Salaam . Tishio la mlipuko na kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola katika nchi za DR Congo na Uganda, limesababisha mechi mbili za kimataifa za kirafiki ambazo timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilipanga kuzicheza dhidi ya Uganda na Rwanda Ijumaa hii na Jumanne wiki ijayo jijini Marrakech, Morocco kufutwa.
Uamuzi w...
Afrika imeweka rekodi mpya ya kihistoria baada ya kupata wawakilishi 10 katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, litakalofanyika Marekani, Canada na Mexico kuanzia Juni 11, 2026.
Nchi nyingine zilizofuzu ni pamoja na Senegal, Morocco, Misri, Ghana, Algeria, Tunisia, Ivory Coast, Cape Verde, Kongo (DRC) na Afrika Kusini.
Hii ni mara ya kwanza katika h...
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau, iliyopo Kata ya Bumilayinga katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, amefariki dunia kufuatia tukio la kushambuliwa linalodaiwa kutokea akiwa shuleni.
Marehemu ametambulika kwa jina la Kojak Emily Ungele (19), ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia Juni 1, 2026, katik...