Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki mkutano wa Waratibu wa Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET) unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Mkutano huo wa siku tatu unalenga kujadili maendeleo ya utekelezaji wa mradi pamoja na maandalizi ya hatua za mwisho kuelekea kufungwa rasmi kwa mradi huo mwez...